Isaiah 32:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tetemekeni kwa woga, enyi mnaojikalia tu; tetemekeni kwa hofu, enyi mnaostarehe! Vueni nguo zenu, mbaki uchi, mjifunge vazi la gunia viunoni mwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tetemekeni, enyi wanawake wenye kuridhika, tetemekeni kwa hofu, enyi binti mnaojisikia salama! Vueni nguo zenu, vaeni magunia viunoni mwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tetemekeni, enyi wanawake wenye raha; taabikeni, enyi msiokuwa na uangalifu; jivueni, jivueni nguo zenu kabisa, jivikeni viuno nguo za magunia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tetemekeni kwa woga, enyi mnaojikalia tu; tetemekeni kwa hofu, enyi mnaostarehe! Vueni nguo zenu, mbaki uchi, mjifunge vazi la gunia viunoni mwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tetemekeni, enyi wanawake wenye kuridhika, tetemekeni, kwa hofu enyi binti mnaojisikia salama! Vueni nguo zenu, vaeni nguo ya gunia viunoni mwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tetemekeni, enyi wanawake wenye kuridhika, tetemekeni kwa hofu, enyi binti mnaojisikia salama! Vueni nguo zenu, vaeni nguo ya gunia viunoni mwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tetemekeni, enyi wanawake mnaostarehe; taabikeni, enyi msiokuwa na uangalifu; jivueni, jivueni nguo zenu kabisa, na kujivika nguo za magunia viunoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tetemekeni kwa woga, enyi mnaojikalia tu; tetemekeni kwa hofu, enyi mnaostarehe! Vueni nguo zenu, mbaki uchi, mjifunge vazi la gunia viunoni mwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Stukeni, ninyi msiojisumbua! Tetemekeni, ninyi mnaojikalia tu! Jivueni na kuondoa mavazi, mpate kujifunga viunoni tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tetemekeni, enyi wanawake wenye raha; taabikeni, enyi msiokuwa na uangalifu; jivueni, jivueni nguo zenu kabisa, jivikeni viuno nguo za magunia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutetemeke kwa woga, enyi munaojiikalia tu; mutetemeke kwa hofu, enyi munaostarehe! Muvue nguo zenu, mubakie uchi, mujifungie nguo ya gunia katika viuno vyenu.