Isaiah 32:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hali itaendelea kuwa hivyo mpaka tumiminiwe roho ya Mungu kutoka juu. Hapo jangwa litakuwa shamba la rutuba tena, na mashamba ya rutuba yatakuwa msitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hadi Roho wa Mungu amwagwe juu yetu kutoka juu, nalo jangwa kuwa shamba lenye rutuba, na shamba lenye rutuba kuwa kama msitu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hata roho itakapomwagwa juu yetu kutoka juu; hata jangwa litakapokuwa shamba lizaalo sana; nalo shamba lizaalo sana litakapohesabiwa kuwa msitu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hali itaendelea kuwa hivyo mpaka tumiminiwe roho ya Mungu kutoka juu. Hapo jangwa litakuwa shamba la rutuba tena, na mashamba ya rutuba yatakuwa msitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mpaka Roho amwagwe juu yetu kutoka juu, nalo jangwa kuwa shamba lenye rutuba na shamba lenye rutuba kuwa kama msitu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mpaka Roho amwagwe juu yetu kutoka juu, nalo jangwa kuwa shamba lenye rutuba, na shamba lenye rutuba kuwa kama msitu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hata roho itakapomwagwa juu yetu kutoka juu; hata jangwa litakapokuwa shamba lizaalo sana; nalo shamba lizaalo sana litakapohesabiwa kuwa msitu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hali itaendelea kuwa hivyo mpaka tumiminiwe roho ya Mungu kutoka juu. Hapo jangwa litakuwa shamba la rutuba tena, na mashamba ya rutuba yatakuwa msitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa hivyo, mpaka tutakapomwagiwa Roho itokayo juu. Ndipo, nyika itakapokuwa shamba la mizabibu, nalo shamba la mizabibu litawaziwa kuwa mwitu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hata roho itakapomwagwa juu yetu kutoka juu; hata jangwa litakapokuwa shamba lizaalo sana; nalo shamba lizaalo sana litakapohesabiwa kuwa msitu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hali itaendelea kuwa hivyo mpaka tujazwe Roho wa Mungu kutoka juu. Hapo jangwa litakuwa shamba lenye udongo muzuri tena, na mashamba yenye udongo muzuri yatakuwa pori.