Isaiah 32:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutokana na uadilifu watu watapata amani, utulivu na usalama utadumu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Matunda ya haki yatakuwa amani, matokeo ya haki yatakuwa utulivu na matumaini milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kazi ya haki itakuwa amani; na mazao ya haki yatakuwa ni utulivu na matumaini daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutokana na uadilifu watu watapata amani, utulivu na usalama utadumu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Matunda ya haki yatakuwa amani, matokeo ya haki yatakuwa utulivu na matumaini milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Matunda ya haki yatakuwa amani, matokeo ya haki yatakuwa utulivu na matumaini milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kazi ya haki itakuwa amani; na mazao ya haki yatakuwa ni utulivu na matumaini daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutokana na uadilifu watu watapata amani, utulivu na usalama utadumu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo kazi ya wongofu itakuwa kuleta utengemano, nao utumishi wa wongofu utakuwa kuwapatia watu utulivu, wakae salama kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kazi ya haki itakuwa amani; na mazao ya haki yatakuwa ni utulivu na matumaini daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutokana na kutenda kwa haki, watu watapata amani, utulivu na usalama kwa milele.