Isaiah 32:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini heri yenu nyinyi: Mtapanda mbegu zenu popote penye maji, ng'ombe na punda wenu watatembeatembea watakavyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
tazama jinsi utakavyobarikiwa, ukipanda mbegu yako katika kila kijito, na kuwaacha ng’ombe wako na punda wajilishe kwa uhuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri ninyi mpandao mbegu kando ya maji yote, na kuiacha miguu ya ng'ombe na punda waende ko kote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini heri yenu nyinyi: mtapanda mbegu zenu popote penye maji, ng'ombe na punda wenu watatembeatembea watakavyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
tazama jinsi utakavyobarikiwa, ukipanda mbegu yako katika kila kijito, na kuwaacha ng'ombe wako na punda wajilishe kwa uhuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
tazama jinsi utakavyobarikiwa, ukipanda mbegu yako katika kila kijito, na kuwaacha ng’ombe wako na punda wajilishe kwa uhuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri ninyi mpandao mbegu kando ya maji yote, na kuiacha miguu ya ng'ombe na punda waende kokote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini heri yenu nyinyi: Mtapanda mbegu zenu popote penye maji, ng'ombe na punda wenu watatembeatembea watakavyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi mtakuwa wenye shangwe, kwa kuwa mtapanda kandokando ya maji po pote, mtawaacha ng'ombe na punda, wajiendee, wanapotaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri ninyi mpandao mbegu kando ya maji yote, na kuiacha miguu ya ng’ombe na punda waende ko kote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini heri yenu ninyi: mutapanda mbegu zenu popote penye maji, ngombe na punda wenu watatembeatembea namna wanavyotaka.