Isaiah 32:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Macho hayatafumbwa tena, masikio yatabaki wazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo macho ya wale wanaoona hayatafumbwa tena, nayo masikio ya wale wanaosikia yatasikiliza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena macho yao waonao hayatakuwa na kiwi, na masikio yao wasikiao yatasikiliza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Macho hayatafumbwa tena, masikio yatabaki wazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo macho ya wale wanaoona hayatafumbwa tena, nayo masikio ya wale wanaosikia yatasikiliza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo macho ya wale wanaoona hayatafumbwa tena, nayo masikio ya wale wanaosikia yatasikiliza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena macho yao waonao hayatakuwa na kiwi, na masikio yao wasikiao yatasikiliza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Macho hayatafumbwa tena, masikio yatabaki wazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo macho yao waonao hayatazibana tena, nayo masikio yao wasikiao yatasikiliza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena macho yao waonao hayatakuwa na kiwi, na masikio yao wasikiao yatasikiliza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Macho ya wanaoona hayatapofushwa tena, masikio ya wanaosikia yatabaki wazi.