Isaiah 32:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafanyao mambo kwa hamaki wataamua kwa busara, wenye kigugumizi wataongea sawasawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moyo wa mtu mwenye hamaki utafahamu na kuelewa, nao ulimi wenye kigugumizi utanena kwa ufasaha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena moyo wa mtu mwenye hamaki utafahamu maarifa, na ndimi zao wenye kigugumizi zitakuwa tayari kunena sawasawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafanyao mambo kwa hamaki wataamua kwa busara, wenye kigugumizi wataongea sawasawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moyo wa mtu mwenye hamaki utafahamu na kuelewa, nao ulimi wenye kigugumizi utanena kwa ufasaha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moyo wa mtu mwenye hamaki utafahamu na kuelewa, nao ulimi wenye kigugumizi utanena kwa ufasaha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena moyo wa mtu mwenye hamaki utafahamu maarifa, na ndimi zao wenye kigugumizi zitakuwa tayari kunena sawasawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafanyao mambo kwa hamaki wataamua kwa busara, wenye kigugumizi wataongea sawasawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo mioyo yao walio wa juujuu itatambua na kujua maana, nazo ndimi zao wagugumizao maneno zitasema upesi maneno ya sawasawa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena moyo wa mtu mwenye hamaki utafahamu maarifa, na ndimi zao wenye kigugumizi zitakuwa tayari kunena sawasawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mioyo ya wasiofikiri itapata ufahamu, wenye vigugumizi watasema upesi.