Isaiah 32:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wapumbavu hawataitwa tena waungwana, wala walaghai hawataitwa tena waheshimiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpumbavu hataitwa tena muungwana, wala mtu mbaya kabisa kupewa heshima ya juu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpumbavu hataitwa tena mwungwana, wala ayari hatasemwa kwamba ni karimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wapumbavu hawataitwa tena waungwana, wala walaghai hawataitwa tena waheshimiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpumbavu hataitwa tena muungwana wala mtu mbaya kabisa kupewa heshima ya juu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpumbavu hataitwa tena muungwana, wala mtu mbaya kabisa kupewa heshima ya juu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpumbavu hataitwa tena muungwana, wala mlaghai hataitwa kuwa ni mheshimiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wapumbavu hawataitwa tena waungwana, wala walaghai hawataitwa tena waheshimiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mjinga hataitwa tena bwana mkubwa, wala mdanganyifu hataambiwa tena kuwa mkuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpumbavu hataitwa tena mwungwana, wala ayari hatasemwa kwamba ni karimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wapumbafu hawataitwa tena wenye cheo, wala watu wa ovyoovyo hawataitwa tena waheshimiwa.