Isaiah 32:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Inukeni, enyi wanawake mnaostarehe, mnisikilize; sikilizeni ninayosema enyi mabinti mlioridhika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Enyi wanawake wenye kuridhika sana, amkeni na mnisikilize. Enyi binti mnaojisikia kuwa salama, sikieni lile ninalotaka kuwaambia!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Inukeni, enyi wanawake wenye raha, isikieni sauti yangu; enyi binti za watu msiokuwa na uangalifu, tegeni masikio yenu msikie matamko yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Inukeni, enyi wanawake mnaostarehe, mnisikilize; sikilizeni ninayosema enyi mabinti mlioridhika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Enyi wanawake wenye kuridhika sana, amkeni na mnisikilize, enyi binti mnaojisikia kuwa salama, Sikieni lile ninalotaka kuwaambia!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Enyi wanawake wenye kuridhika sana, amkeni na mnisikilize. Enyi binti mnaojisikia kuwa salama, sikieni lile ninalotaka kuwaambia!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Inukeni, enyi wanawake mnaostarehe, isikieni sauti yangu; enyi binti za watu msiojali, tegeni masikio yenu msikie maneno yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Inukeni, enyi wanawake mnaostarehe, mnisikilize; sikilizeni ninayosema enyi mabinti mlioridhika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi wanawake msiojisumbua, inukeni, mwisikilize sauti yangu! Nanyi wanawali mnaojikalia tu, yasikilizeni maneno yangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Inukeni, enyi wanawake wenye raha, isikieni sauti yangu; enyi binti za watu msiokuwa na uangalifu, tegeni masikio yenu msikie matamko yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musimame, enyi wanawake munaostarehe, munisikilize; musikilize maneno ninayosema, enyi wabinti musiojali kitu.