Isaiah 33:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Sasa mimi nitainuka; sasa nitajiweka tayari; sasa mimi nitatukuzwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sasa nitainuka,” asema Mwenyezi Mungu. “Sasa nitatukuzwa; sasa nitainuliwa juu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, sasa nitasimama; asema Bwana; sasa nitajiinua, sasa nitajitukuza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Sasa mimi nitainuka; sasa nitajiweka tayari; sasa mimi nitatukuzwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sasa nitainuka,” asema BWANA. “Sasa nitatukuzwa; sasa nitainuliwa juu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sasa nitainuka,” asema bwana. “Sasa nitatukuzwa; sasa nitainuliwa juu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, sasa nitasimama; asema BWANA; sasa nitajiinua, sasa nitajitukuza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Sasa mimi nitainuka; sasa nitajiweka tayari; sasa mimi nitatukuzwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, anavyosema Bwana: Sasa nitainuka, sasa nitajitukuza, sasa nitaoneka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, sasa nitasimama; asema BWANA; sasa nitajiinua, sasa nitajitukuza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anasema hivi: Sasa mimi nitasimama; sasa nitajiweka tayari; sasa mimi nitatukuzwa.