Isaiah 33:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, utuonee huruma, kwako tumeliweka tumaini letu. Uwe kinga yetu kila siku, wokovu wetu wakati wa taabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, uturehemu, tunakutamani. Uwe nguvu yetu kila asubuhi na wokovu wetu wakati wa taabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, uturehemu; tumekungoja wewe; uwe wewe mkono wetu
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, utuonee huruma, kwako tumeliweka tumaini letu. Uwe kinga yetu kila siku, wokovu wetu wakati wa taabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, uturehemu, tunakutamani. Uwe nguvu yetu kila asubuhi na wokovu wetu wakati wa taabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, uturehemu, tunakutamani. Uwe nguvu yetu kila asubuhi na wokovu wetu wakati wa taabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, uturehemu; tumekungoja wewe; uwe wewe mkono wetu kila asubuhi, na wokovu wetu pia wakati wa taabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, utuonee huruma, kwako tumeliweka tumaini letu. Uwe kinga yetu kila siku, wokovu wetu wakati wa taabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, tuwie mpole! Wewe tumekungojea; uwe mkono wao kila kunapokucha! Uwe nao wokovu wetu, tunaposongeka!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, uturehemu; tumekungoja wewe; uwe wewe mkono wetu kila asububi, na wokovu wetu pia wakati wa taabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, utuonee huruma, kwako tumeliweka tumaini letu. Ukuwe kikingio chetu kila siku, mwokozi wetu wakati wa taabu.