Isaiah 33:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Humo Mwenyezi-Mungu atatuonesha ukuu wake. Kutakuwa na mito mikubwa na vijito, ambamo meli za vita hazitapita, wala meli kubwa kuingia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko Mwenyezi Mungu atakuwa Mwenye Nguvu wetu. Patakuwa kama mahali pa mito mipana na vijito. Hakuna jahazi lenye makasia litakalopita huko, wala hakuna meli yenye nguvu itakayopita huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali huko Bwana atakuwa pamoja nasi, mwenye adhama; mahali penye mito mipana na vijito, pasipopita mashua na makasia yake; wala hapana merikebu ya vita itakayopita hapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Humo Mwenyezi-Mungu atatuonesha ukuu wake. Kutakuwa na mito mikubwa na vijito, ambamo meli za vita hazitapita, wala meli kubwa kuingia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko BWANA atakuwa Mwenye Nguvu wetu. Patakuwa kama mahali pa mito mipana na vijito. Hakuna jahazi lenye makasia litakalopita huko, wala hakuna meli yenye nguvu itakayopita huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko bwana atakuwa Mwenye Nguvu wetu. Patakuwa kama mahali pa mito mipana na vijito. Hakuna jahazi lenye makasia litakalopita huko, wala hakuna meli yenye nguvu itakayopita huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali huko BWANA atakuwa pamoja nasi, mwenye adhama; mahali penye mito mipana na vijito, pasipopita mashua na makasia yake; wala hapana merikebu ya vita itakayopita hapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Humo Mwenyezi-Mungu atatuonesha ukuu wake. Kutakuwa na mito mikubwa na vijito, ambamo meli za vita hazitapita, wala meli kubwa kuingia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani huko Bwana mwenye utukufu atakuwa kwetu, atukingie penye mito mikubwa yenye mikono mipana, mitumbwi ya kuvukia haitapatikana, wala vyombo havitapita hapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali huko BWANA atakuwa pamoja nasi, mwenye adhama; mahali penye mito mipana na vijito, pasipopita mashua na makasia yake; wala hapana merikebu ya vita itakayopita hapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Humo Yawe atatuonyesha ukubwa wake. Kutakuwa mito mikubwa na vijito, lakini mashua za vita hazitapita, wala mashua kubwa kuingia.