Isaiah 33:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mwenyezi-Mungu ni hakimu wetu, yeye ni mtawala wetu; Mwenyezi-Mungu ni mfalme wetu, yeye ndiye anayetuokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni mwamuzi wetu, Mwenyezi Mungu ndiye mtoa sheria wetu, Mwenyezi Mungu ni mfalme wetu, yeye ndiye atakayetuokoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana Bwana ndiye mwamuzi wetu; Bwana ndiye mfanya sheria wetu; Bwana ndiye mfalme wetu; ndiye atakayetuokoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mwenyezi-Mungu ni hakimu wetu, yeye ni mtawala wetu; Mwenyezi-Mungu ni mfalme wetu, yeye ndiye anayetuokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa BWANA ni mwamuzi wetu, BWANA ndiye mtoa sheria wetu, BWANA ni mfalme wetu, yeye ndiye atakayetuokoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa bwana ni mwamuzi wetu, bwana ndiye mtoa sheria wetu, bwana ni mfalme wetu, yeye ndiye atakayetuokoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana BWANA ndiye mwamuzi wetu; BWANA ndiye mfanya sheria wetu; BWANA ndiye mfalme wetu; ndiye atakayetuokoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mwenyezi-Mungu ni hakimu wetu, yeye ni mtawala wetu; Mwenyezi-Mungu ni mfalme wetu, yeye ndiye anayetuokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana ni mwamuzi wetu, Bwana ndiye atakayetuongoza, Bwana ni mfalme wetu, yeye ndiye atakayetuokoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana BWANA ndiye mwamuzi wetu; BWANA ndiye mfanya sheria wetu; BWANA ndiye mfalme wetu; ndiye atakayetuokoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana Yawe ni mwamuzi wetu, yeye ni mutawala wetu; Yawe ni mufalme wetu, yeye ndiye anayetuokoa.