Isaiah 33:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ewe Siyoni, kamba zako zimelegea, haziwezi kushikilia matanga yake, wala kuyatandaza. Lakini nyara nyingi zitagawanywa; hata vilema wataweza kuchukua sehemu yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kamba zenu za merikebu zimelegea: Mlingoti haukusimama imara, nalo tanga halikukunjuliwa. Wingi wa mateka yatagawanywa, hata yeye aliye mlemavu atachukua nyara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kamba zako zimelegea; hawakuweza kukaza sana shina la mlingoti wao; hawakuweza kulikunjua tanga; ndipo mapato ya mateka yaligawanywa, hata wachechemeao walipata mateka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ewe Siyoni, kamba zako zimelegea, haziwezi kushikilia matanga yake, wala kuyatandaza. Lakini nyara nyingi zitagawanywa; hata vilema wataweza kuchukua sehemu yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kamba zenu za merikebu zimelegea: Mlingoti haukusimama imara, tanga halikukunjuliwa. Wingi wa mateka yatagawanywa, hata yeye aliye mlemavu atachukua nyara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kamba zenu za merikebu zimelegea: Mlingoti haukusimama imara, nalo tanga halikukunjuliwa. Wingi wa mateka yatagawanywa, hata yeye aliye mlemavu atachukua nyara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kamba zako zimelegea; hawakuweza kukaza sana shina la mlingoti wao; hawakuweza kulikunjua tanga; ndipo mapato ya mateka yaligawanywa, hata wachechemeao walipata mateka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ewe Siyoni, kamba zako zimelegea, haziwezi kushikilia matanga yake, wala kuyatandaza. Lakini nyara nyingi zitagawanywa; hata vilema wataweza kuchukua sehemu yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kamba zako zilikuwa zimelegea, hazikuukaza ulingo wa mlingoti wao, wala hazikutanda tanga; ndipo, mateka mengi mazuri yatakapogawanywa, nao waendao pecha wataweza kujitwalia mateka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kamba zako zimelegea; hawakuweza kukaza sana shina la mlingoti wao; hawakuweza kulikunjua tanga; ndipo mapato ya mateka yaligawanywa, hata wachechemeao walipata mateka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ewe Sayuni, kamba zako zimeregea, haziwezi kushikilia matanga yake, wala kufungia paa zao. Lakini vitu vingi vilivyonyanganywa vitagawanywa; hata vilema wataweza kupata sehemu yao.