Isaiah 33:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakuna atakayesema tena ni mgonjwa; watu watasamehewa uovu wao wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna yeyote aishiye Sayuni atakayesema, “Mimi ni mgonjwa”; nazo dhambi za wale wanaoishi humo zitasamehewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hapana mwenyeji atakayesema, Mimi mgonjwa; watu wakaao humo watasamehewa uovu wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakuna atakayesema tena ni mgonjwa; watu watasamehewa uovu wao wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna ye yote aishiye Sayuni atakayesema, “Mimi ni mgonjwa”; nazo dhambi za wale waishio humo zitasamehewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna yeyote aishiye Sayuni atakayesema, “Mimi ni mgonjwa”; nazo dhambi za wale waishio humo zitasamehewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hapana mwenyeji atakayesema, Mimi mgonjwa; watu wakaao humo watasamehewa uovu wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakuna atakayesema tena ni mgonjwa; watu watasamehewa uovu wao wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapataonekana mwenyeji atakayesema: Nimeugua, kwani watu watakaokaa mle watakuwa wameondolewa manza, walizozikora.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hapana mwenyeji atakayesema, Mimi mgonjwa; watu wakaao humo watasamehewa uovu wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakuna atakayesema tena ni mugonjwa; watu watasamehewa uovu wao wote.