Isaiah 33:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ametukuka, yeye anaishi juu mbinguni. Ameujaza Siyoni haki na uadilifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ametukuka, kwa kuwa anakaa mahali palipoinuka, ataijaza Sayuni kwa haki na uadilifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ametukuka; kwa maana anakaa juu; amejaza Sayuni hukumu na haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ametukuka, yeye anaishi juu mbinguni. Ameujaza Siyoni haki na uadilifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ametukuka, kwa kuwa anakaa mahali palipoinuka, ataijaza Sayuni kwa haki na uadilifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ametukuka, kwa kuwa anakaa mahali palipoinuka, ataijaza Sayuni kwa haki na uadilifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ametukuka; kwa maana anakaa juu; amejaza Sayuni hukumu na haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ametukuka, yeye anaishi juu mbinguni. Ameujaza Siyoni haki na uadilifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ametukuka, kwani anakaa juu, hujaza Sioni maamuzi yaongokayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ametukuka; kwa maana anakaa juu; amejaza Sayuni hukumu na haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ametukuzwa, yeye anaishi juu mbinguni. Ameujaza Sayuni usawa na haki.