Isaiah 34:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Karibieni mkasikilize enyi mataifa, tegeni sikio enyi watu. Sikiliza ee dunia na vyote vilivyomo, ulimwengu na vyote vitokavyo humo!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njooni karibu, enyi mataifa, nanyi msikilize; sikilizeni kwa makini, enyi makabila ya watu! Dunia na isikie, navyo vyote vilivyo ndani yake, ulimwengu na vyote vinavyotoka ndani yake!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Karibuni, enyi mataifa, mpate kusikia; sikilizeni, enyi kabila za watu; dunia na isikie, nacho kiijazacho, ulimwengu na vitu vyote viutokavyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Karibieni mkasikilize enyi mataifa, tegeni sikio enyi watu. Sikiliza ee dunia na vyote vilivyomo, ulimwengu na vyote vitokavyo humo!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njoni karibu, enyi mataifa, nanyi msikilize; sikilizeni kwa makini, enyi kabila za watu! Dunia na isikie, navyo vyote vilivyo ndani yake, ulimwengu na vyote vitokavyo ndani yake!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njooni karibu, enyi mataifa, nanyi msikilize; sikilizeni kwa makini, enyi kabila za watu! Dunia na isikie, navyo vyote vilivyo ndani yake, ulimwengu na vyote vitokavyo ndani yake!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Karibuni, enyi mataifa, mpate kusikia; sikilizeni, enyi makabila ya watu; dunia na isikie, na chote kiijazacho, ulimwengu na vitu vyote viutokavyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Karibieni mkasikilize enyi mataifa, tegeni sikio enyi watu. Sikiliza ee dunia na vyote vilivyomo, ulimwengu na vyote vitokavyo humo!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Karibuni, ninyi wamizimu, msikie! Nanyi makabila ya watu, angalieni! Nchi na isikilize nayo yote yaliyoko! Nao ulimwengu nayo yote yachipukako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Karibuni, enyi mataifa, mpate kusikia; sikilizeni, enyi kabila za watu; dunia na isikie, nacho kiijazacho, ulimwengu na vitu vyote viutokavyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mujongee musikilize enyi mataifa, musikilize enyi watu. Sikiliza, ee dunia na vyote vinavyokuwa ndani yake, ulimwengu na vyote vinavyotoka humo!