Isaiah 34:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Itawaka usiku na mchana bila kuzimika, moshi wake utafuka juu milele. Nchi itakuwa jangwa siku zote, hakuna atakayepitia huko milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haitazimishwa usiku wala mchana, moshi wake utapaa juu milele. Kizazi hadi kizazi itakuwa ukiwa; hakuna mtu yeyote atakayepita huko tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haitazimwa mchana wala usiku, moshi wake utapaa milele; tangu kizazi hata kizazi itakuwa ukiwa; hapana mtu atakayepita kati yake milele na milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Itawaka usiku na mchana bila kuzimika, moshi wake utafuka juu milele. Nchi itakuwa jangwa siku zote, hakuna atakayepitia huko milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haitazimishwa usiku wala mchana, moshi wake utapaa juu milele. Kutoka kizazi hadi kizazi itakuwa ukiwa, hakuna mtu ye yote atakayepita huko tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haitazimishwa usiku wala mchana, moshi wake utapaa juu milele. Kutoka kizazi hadi kizazi itakuwa ukiwa, hakuna mtu yeyote atakayepita huko tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haitazimwa mchana wala usiku, moshi wake utapaa milele; tangu kizazi hadi kizazi itakuwa ukiwa; hapana mtu atakayepita kati yake milele na milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Itawaka usiku na mchana bila kuzimika, moshi wake utafuka juu milele. Nchi itakuwa jangwa siku zote, hakuna atakayepitia huko milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiku na mchana hautazima, moshi wake utapanda kale na kale; kwa vizazi na vizazi itakuwa jangwa, siku zote za kale na kale hapataonekana atakayepapita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haitazimwa mchana wala usiku, moshi wake utapaa milele; tangu kizazi hata kizazi itakuwa ukiwa; hapana mtu atakayepita kati yake milele na milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Itawaka usiku na muchana bila kuzimika, moshi wake utapanda juu milele. Inchi itakuwa jangwa siku zote, hakuna atakayepitia huko milele.