Isaiah 34:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Itakuwa makao ya kozi na nungunungu, bundi na kunguru wataishi humo. Mwenyezi-Mungu atawaletea ghasia, na timazi la fujo kwa wakuu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bundi wa jangwani na bundi mwenye sauti nyembamba wataimiliki, bundi wakubwa na kunguru wataweka viota humo. Mungu atanyoosha juu ya Edomu kamba ya kupimia ya machafuko matupu, na timazi ya ukiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kaati na nungu wataimiliki, bundi na kunguru watakaa huko, naye atanyosha juu yake kamba ya ukiwa na timazi ya utupu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Itakuwa makao ya kozi na nungunungu, bundi na kunguru wataishi humo. Mwenyezi-Mungu atawaletea ghasia, na timazi la fujo kwa wakuu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bundi wa jangwani na bundi mwenye sauti nyembamba wataimiliki, bundi wakubwa na kunguru wataweka viota humo. Mungu atanyosha juu ya Edomu kamba ya kupimia ya machafuko matupu na timazi ya ukiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bundi wa jangwani na bundi mwenye sauti nyembamba wataimiliki, bundi wakubwa na kunguru wataweka viota humo. Mungu atanyoosha juu ya Edomu kamba ya kupimia ya machafuko matupu, na timazi ya ukiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kozi na nungunungu wataimiliki, bundi na kunguru watakaa huko, naye atanyosha juu yake kamba ya ukiwa na timazi ya utupu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Itakuwa makao ya kozi na nungunungu, bundi na kunguru wataishi humo. Mwenyezi-Mungu atawaletea ghasia, na timazi la fujo kwa wakuu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakaoitwaa ni korwa na nungu, hata mabundi na makunguru watakaa huko; Bwana atatanda juu yake kamba ya kuipimia, iwe peke yake, ataweka nayo mawe ya kuipimia, iwe tupu kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kaati na nungu wataimiliki, bundi na kunguru watakaa huko, naye atanyosha juu yake kamba ya ukiwa na timazi ya utupu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Itakuwa makao ya ndege za jangwa: kozi, bundi na kibombobombo. Yawe atawaletea muvurugano, na timazi la fujo kwa wakubwa wake.