Isaiah 34:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nchi itaitwa “Nchi bila Mfalme;” wakuu wake wote wametoweka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wake wa kuheshimiwa hawatakuwa na chochote kitakachoitwa ufalme huko, nao wakuu wao wote watatoweka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watawaitia wakuu wake ufalme, lakini hawatakuwapo; wakuu wake wote wamekuwa si kitu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nchi itaitwa “Nchi bila Mfalme”; wakuu wake wote wametoweka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wake wa kuheshimiwa hawatakuwa na cho chote huko kitakachoitwa ufalme, wana wao wa kifalme wote watatoweka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wake wa kuheshimiwa hawatakuwa na chochote kitakachoitwa ufalme huko, nao wakuu wao wote watatoweka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watawaitia wakuu wake ufalme, lakini hawatakuwapo; wakuu wake wote wamekuwa si kitu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nchi itaitwa “Nchi bila Mfalme;” wakuu wake wote wametoweka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakuna wakuu wake watakaoiita kuwa nchi ya kifalme, wote walioitawala watakuwa wametoweka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watawaitia wakuu wake ufalme, lakini hawatakuwapo; wakuu wake wote wamekuwa si kitu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inchi itaitwa Inchi bila Mufalme; wakubwa wake wote wametoweka.