Isaiah 34:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miiba itaota katika ngome zake, viwavi na michongoma mabomani mwao. Itakuwa makao ya mbwamwitu, maskani yao mbuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miiba itaenea katika ngome za ndani, viwawi na michongoma itaota kwenye ngome zake. Itakuwa maskani ya mbweha, makao ya bundi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miiba itamea majumbani mwake, upupu na mbigili ndani ya maboma yake; nayo itakuwa kao la mbweha, na ua la mbuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miiba itaota katika ngome zake, viwavi na michongoma mabomani mwao. Itakuwa makao ya mbwamwitu, maskani yao mbuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miiba itaenea katika ngome za ndani, viwawi na michongoma itaota kwenye ngome zake. Itakuwa maskani ya mbweha, makao ya bundi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miiba itaenea katika ngome za ndani, viwawi na michongoma itaota kwenye ngome zake. Itakuwa maskani ya mbweha, makao ya bundi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miiba itamea majumbani mwake, upupu na mbigili ndani ya maboma yake; nayo itakuwa kao la mbweha, na ua la mbuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miiba itaota katika ngome zake, viwavi na michongoma mabomani mwao. Itakuwa makao ya mbwamwitu, maskani yao mbuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miti yenye miiba itamea majumbani mwao, namo mabomani viwawi na mangugi; namo ndimo, watakaamo mbweha na mbuni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miiba itamea majumbani mwake, upupu na mbigili ndani ya maboma yake; nayo itakuwa kao la mbweha, na ua la mbuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miiba itaota katika pango zake, miiba na michongoma ndani ya kuta zake. Itakuwa makao ya imbwa wa pori, nafasi ya mbuni.