Isaiah 34:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pakamwitu na fisi watakuwa humo, majini yataitana humo; kwao usiku utakuwa mwanga, na humo watapata mahali pa kupumzikia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Viumbe vya jangwani vitakutana na fisi, nao mbuzi-mwitu watalia wakiitana; huko viumbe vya usiku vitastarehe pia na kujitafutia mahali pa kupumzika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hayawani wa nyikani watakutana na mbwa-mwitu, na beberu anamwita mwenziwe; naam, babewatoto anakaa huko na kujipatia raha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pakamwitu na fisi watakuwa humo, majini yataitana humo; kwao usiku utakuwa mwanga, na humo watapata mahali pa kupumzikia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Viumbe vya jangwani vitakutana na fisi, nao mbuzi-mwitu watalia wakiitana; huko viumbe vya usiku vitastarehe pia na kujitafutia mahali pa kupumzika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Viumbe vya jangwani vitakutana na fisi, nao mbuzi-mwitu watalia wakiitana; huko viumbe vya usiku vitastarehe pia na kujitafutia mahali pa kupumzika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hayawani wa nyikani watakutana na mbwamwitu, na beberu anamwita mwenziwe; naam, babewatoto anakaa huko na kupata pahali pa kustarehe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pakamwitu na fisi watakuwa humo, majini yataitana humo; kwao usiku utakuwa mwanga, na humo watapata mahali pa kupumzikia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko vimburu watakutana na mbwa wa mwitu, shetani atamwita shetani mwenziwe; tena ndiko, mzuka wa kike wa usiku utakakotua na kujipatia pa kupumzikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hayawani wa nyikani watakutana na mbwa-mwitu, na beberu anamwita mwenziwe; naam, babewatoto anakaa huko na kujipatia raha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Paka wa pori na fisi watakuwa humo, mapepo wataitana humo; sulukutu atatulia humo na kupata nafasi ya kupumzika.