Isaiah 34:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Humo bundi watataga mayai na kuyaatamia, wataangua vifaranga na kuviweka kivulini mwao. Humo vipanga watakutania, kila mmoja na mwenzake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bundi wataweka viota huko na kutaga mayai, atayaangua na kutunza makinda yake chini ya uvuli wa mabawa yake; pia huko vipanga watakusanyika, kila mmoja na mwenzi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huko pili atafanya kioto chake na kuzaa na kuotamia, na kukusanya watoto wake katika kivuli chake; naam, huko watakusanyika tai, kila mmoja na mwenzake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Humo bundi watataga mayai na kuyaatamia, wataangua vifaranga na kuviweka kivulini mwao. Humo vipanga watakutania, kila mmoja na mwenzake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bundi wataweka viota huko na kutaga mayai, atayaangua na kutunza makinda yake chini ya uvuli wa mbawa zake; pia huko vipanga watakusanyika, kila mmoja na mwenzi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bundi wataweka viota huko na kutaga mayai, atayaangua na kutunza makinda yake chini ya uvuli wa mabawa yake; pia huko vipanga watakusanyika, kila mmoja na mwenzi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huko bundi atajenga kiota chake na kutaga mayai na kuyaatamia, na kuangua, na kukusanya vifaranga wake katika kivuli chake; naam, huko watakusanyika tai, kila mmoja na mwenzake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Humo bundi watataga mayai na kuyaatamia, wataangua vifaranga na kuviweka kivulini mwao. Humo vipanga watakutania, kila mmoja na mwenzake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye nyoka wa mamba atatengeneza kuko shimo lake, atage mayai, apate watoto, awatunze kuvulini pake, Tena ndiko, mwewe watakakokusanyikana, kila mmoja na mwenziwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huko pili atafanya kioto chake na kuzaa na kuotamia, na kukusanya watoto wake katika kivuli chake; naam, huko watakusanyika tai, kila mmoja na mwenzake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Humo bundi watataga mayai na kuyaatamia, watatotoa vitoto na kuviweka chini ya kivuli chao. Humo tai watakutanana, kila mumoja na mwenzake.