Isaiah 34:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maiti zao zitatupwa nje; harufu ya maiti zao itasambaa; milima itatiririka damu yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliouawa watatupwa nje, maiti zao zitatoa uvundo, milima itatota kwa damu zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wao waliouawa watatupwa nje, na uvundo wa maiti zao utapaa juu, na milima itayeyushwa kwa damu yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maiti zao zitatupwa nje; harufu ya maiti zao itasambaa; milima itatiririka damu yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliouawa watatupwa nje, maiti zao zitatoa uvundo, milima itatota kwa damu zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliouawa watatupwa nje, maiti zao zitatoa uvundo, milima itatota kwa damu zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wao waliouawa watatupwa nje, na uvundo wa maiti zao utapaa juu, na milima itayeyushwa kwa damu yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maiti zao zitatupwa nje; harufu ya maiti zao itasambaa; milima itatiririka damu yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakaouawa kwao watatupwa tu, mnuko wa mizoga yao utaenea, nayo milima italegezwa kwa damu zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wao waliouawa watatupwa nje, na uvundo wa maiti zao utapaa juu, na milima itayeyushwa kwa damu yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maiti zao zitatupwa inje; harufu ya maiti zao itasambaa; damu yao itatiririka juu ya milima.