Isaiah 34:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upanga wa Mungu uko tayari juu mbinguni. Tazama, washuka kuwaadhibu Waedomu, watu ambao ameamua kuwaangamiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Upanga wangu umekunywa na kushiba huko mbinguni, tazama, unashuka katika hukumu juu ya Edomu, wale watu ambao nimeshawahukumu, kuwaangamiza kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana upanga wangu umekunywa na kushiba mbinguni; tazama, utashukia Edomu, na juu ya watu wa laana yangu, ili kuwahukumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upanga wa Mungu uko tayari juu mbinguni. Tazama, washuka kuwaadhibu Waedomu, watu ambao ameamua kuwaangamiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Upanga wangu umekunywa na kushiba huko mbinguni, tazama, unashuka katika hukumu juu ya Edomu, wale watu ambao nimeshawahukumu, kuwaangamiza kabisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Upanga wangu umekunywa na kushiba huko mbinguni, tazama, unashuka katika hukumu juu ya Edomu, wale watu ambao nimeshawahukumu, kuwaangamiza kabisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana upanga wangu umekunywa na kushiba mbinguni; tazama, utashukia Edomu, na juu ya watu wa laana yangu, ili kuwahukumu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upanga wa Mungu uko tayari juu mbinguni. Tazama, washuka kuwaadhibu Waedomu, watu ambao ameamua kuwaangamiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani upanga wangu ukilewa mbinguni, mtauona, unavyowashukia Waedomu; nimewatia mwiko wa kuwapo, wapatilizwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana upanga wangu umekunywa na kushiba mbinguni; tazama, utashukia Edomu, na juu ya watu wa laana yangu, ili kuwahukumu. Oba 1-14; Mal 1:2-5
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upanga wa Mungu uko tayari juu mbinguni. Angalia, unashuka kuwaazibu Waedomu, watu ambao ameamua kuwaangamiza.