Isaiah 34:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mwenyezi-Mungu anayo siku ya kisasi; mwaka wa kulipiza maadui wa Siyoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu Mwenyezi Mungu anayo siku ya kulipiza kisasi, mwaka wa malipo, siku ya kushindania shauri la Sayuni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana ni siku ya kisasi cha Bwana, mwaka wa malipo, ili kushindania Sayuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mwenyezi-Mungu anayo siku ya kisasi; mwaka wa kulipiza maadui wa Siyoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu BWANA anayo siku ya kulipiza kisasi, mwaka wa malipo, siku ya kushindania shauri la Sayuni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu bwana anayo siku ya kulipiza kisasi, mwaka wa malipo, siku ya kushindania shauri la Sayuni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana ni siku ya kisasi cha BWANA, mwaka wa malipo, ili kushindania Sayuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mwenyezi-Mungu anayo siku ya kisasi; mwaka wa kulipiza maadui wa Siyoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hiyo ni siku ya Bwana ya kulipiza, ni mwaka wa kuvilipisha vita, walivyoupelekea Sioni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana ni siku ya kisasi cha BWANA, mwaka wa malipo, ili kushindania Sayuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana Yawe yuko na siku ya kulipiza kisasi; mwaka wa kulipiza waadui za Sayuni.