Isaiah 34:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vijito vya Edomu vitatiririka lami, udongo wake utakuwa madini ya kiberiti; ardhi yake itakuwa lami iwakayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vijito vya Edomu vitageuka kuwa lami, mavumbi yake yatakuwa kiberiti kiunguzacho, nchi yake itakuwa lami iwakayo!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na vijito vyake vitageuzwa kuwa lami, na mavumbi yake yatageuzwa kuwa kiberiti, na ardhi yake itakuwa lami iwakayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vijito vya Edomu vitatiririka lami, udongo wake utakuwa madini ya kiberiti; ardhi yake itakuwa lami iwakayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vijito vya Edomu vitageuka kuwa lami, mavumbi yake yatakuwa kiberiti kiunguzacho, nchi yake itakuwa lami iwakayo!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vijito vya Edomu vitageuka kuwa lami, mavumbi yake yatakuwa kiberiti kiunguzacho, nchi yake itakuwa lami iwakayo!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na vijito vyake vitageuzwa kuwa lami, na mavumbi yake yatageuzwa kuwa kiberiti, na ardhi yake itakuwa lami iwakayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vijito vya Edomu vitatiririka lami, udongo wake utakuwa madini ya kiberiti; ardhi yake itakuwa lami iwakayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mito yake itageuzwa kuwa lami, nayo mavumbi yake yatakuwa viberiti, hivyo nchi yao itakuwa lami iwakayo moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na vijito vyake vitageuzwa kuwa lami, na mavumbi yake yatageuzwa kuwa kiberiti, na ardhi yake itakuwa lami iwakayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vijito vya Edomu vitatiririsha kabulimbo, udongo wake utakuwa kiberiti; inchi yake itakuwa kabulimbo inayowaka.