Isaiah 35:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyika na nchi kavu vitachangamka, jangwa litafurahi na kuchanua maua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jangwa na nchi kame vitafurahi; nyika itashangilia na kuchanua maua. Kama waridi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nyika na mahali palipo ukiwa patafurahi; jangwa litashangilia na kuchanua maua kama waridi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyika na nchi kavu vitachangamka, jangwa litafurahi na kuchanua maua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jangwa na nchi kame vitafurahi; nyika itashangilia na kuchanua maua. Kama waridi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jangwa na nchi kame vitafurahi; nyika itashangilia na kuchanua maua. Kama waridi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nyika na mahali palipo ukiwa patafurahi; jangwa litashangilia na kuchanua maua kama waridi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyika na nchi kavu vitachangamka, jangwa litafurahi na kuchanua maua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyika na nchi kavu, na mchangamke, nalo jangwa na lipige vigelegele kwa kuchipuka na kuchanua kama shamba la maua ya uwago.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nyika na mahali palipo ukiwa patafurahi; jangwa litashangilia na kuchanua maua kama waridi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbuga na inchi kavu vitachangamuka, jangwa litafurahi na kuchanua maua.