Isaiah 35:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walemavu watarukaruka kama paa, na bubu wataimba kwa furaha. Maji yatabubujika nyikani na vijito vya maji jangwani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo kilema atarukaruka kama kulungu, nao ulimi wa aliye bubu utapaza sauti kwa shangwe. Maji yatatiririka kwa kasi katika nyika, na vijito katika jangwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo mtu aliye kilema ataruka-ruka kama kulungu, na ulimi wake aliye bubu utaimba; maana katika nyika maji yatabubujika; na vijito jangwani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walemavu watarukaruka kama paa, na bubu wataimba kwa furaha. Maji yatabubujika nyikani na vijito vya maji jangwani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo kilema atarukaruka kama kulungu, nao ulimi wa aliye bubu utapaza sauti kwa shangwe. Maji yatatiririka kwa kasi katika nyika na vijito katika jangwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo kilema atarukaruka kama kulungu, nao ulimi wa aliye bubu utapaza sauti kwa shangwe. Maji yatatiririka kwa kasi katika nyika, na vijito katika jangwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo mtu aliye kilema atarukaruka kama kulungu, na ulimi wake aliye bubu utaimba; maana katika nyika maji yatabubujika; na vijito jangwani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walemavu watarukaruka kama paa, na bubu wataimba kwa furaha. Maji yatabubujika nyikani na vijito vya maji jangwani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, viwete watakaporukaruka kama kulungu, ndipo, ndimi za mabubu zitakapopiga shangwe, kwani maji yatabubujika nyikani, nayo mito jangwani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo mtu aliye kilema ataruka-ruka kama kulungu, na ulimi wake aliye bubu utaimba; maana katika nyika maji yatabubujika; na vijito jangwani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Viwete watarukaruka kama paa, na bubu wataimba kwa furaha. Maji yatabubujika katika jangwa na vijito katika mbuga.