Isaiah 35:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Humo kutakuwa na barabara kuu, nayo itaitwa “Njia Takatifu.” Watu najisi hawatapitia humo, ila tu watu wake Mungu; wapumbavu hawatadiriki kuikanyaga,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nako kutakuwa na njia kuu, nayo itaitwa Njia ya Utakatifu. Wasio safi hawatapita juu yake; itakuwa ya wale wanaotembea katika Njia Ile; yeye asafiriye juu yake, ajapokuwa mjinga, hatapotea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hapo patakuwa na njia kuu, na njia, nayo itaitwa, Njia ya utakatifu; wasio safi hawatapita juu yake; bali itakuwa kwa ajili ya watu hao; wasafirio, wajapokuwa wajinga, hawatapotea katika njia hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Humo kutakuwa na barabara kuu, nayo itaitwa “Njia Takatifu.” Watu najisi hawatapitia humo, ila tu watu wake Mungu; wapumbavu hawatadiriki kuikanyaga,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nako kutakuwa na njia kuu, nayo itaitwa Njia ya Utakatifu. Wasio safi hawatapita juu yake; itakuwa kwa ajili ya wale watembeao katika Njia ile; yeye asafiriye juu yake, ajapokuwa mjinga, hatapotea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nako kutakuwa na njia kuu, nayo itaitwa Njia ya Utakatifu. Wasio safi hawatapita juu yake; itakuwa ya wale watembeao katika Njia ile; yeye asafiriye juu yake, ajapokuwa mjinga, hatapotea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hapo patakuwa na njia kuu, na njia, nayo itaitwa, Njia ya utakatifu; wasio safi hawatapita juu yake; bali itakuwa kwa ajili ya watu hao; wasafirio, wajapokuwa wajinga, hawatapotea katika njia hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Humo kutakuwa na barabara kuu, nayo itaitwa “Njia Takatifu.” Watu najisi hawatapitia humo, ila tu watu wake Mungu; wapumbavu hawatadiriki kuikanyaga,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata barabara iliyotengenezwa vizuri itakuwako, nayo itaitwa Njia Takatifu; mwenye machafu hataishika, ila itakuwa yao tu, watakaoishika ya kukuendeako, nao wajinga hawatapotelewa nayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hapo patakuwa na njia kuu, na njia, nayo itaitwa, Njia ya utakatifu; wasio safi hawatapita juu yake; bali itakuwa kwa ajili ya watu hao; wasafirio, wajapokuwa wajinga, hawatapotea katika njia hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Humo kutakuwa barabara kubwa, nayo itaitwa Njia Takatifu. Watu wachafu hawatapitia humo, lakini wale watu wa Mungu tu; wapumbafu hawatakanyaga ndani yake,