Isaiah 35:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
humo hakutakuwa na simba, mnyama yeyote mkali hatapitia humo, hao hawatapatikana humo. Lakini waliokombolewa ndio watakaopita humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko hakutakuwa na simba, wala mnyama mkali hatapita njia hiyo; hawatapatikana humo. Ila waliokombolewa tu ndio watakaopita huko,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo hapatakuwa na simba, wala mnyama mkali hatapanda juu yake; hawataonekana hapo; bali waliokombolewa watakwenda katika njia hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
humo hakutakuwa na simba, mnyama yeyote mkali hatapitia humo, hao hawatapatikana humo. Lakini waliokombolewa ndio watakaopita humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko hakutakuwepo na simba, wala mnyama mkali hatapita njia hiyo, wala hawatapatikana humo. Ila waliokombolewa tu ndio watakaopita huko,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko hakutakuwepo na simba, wala mnyama mkali hatapita njia hiyo, wala hawatapatikana humo. Ila waliokombolewa tu ndio watakaopita huko,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo hapatakuwa na simba, wala mnyama mkali hatapanda juu yake; hawataonekana hapo; bali waliokombolewa watakwenda katika njia hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
humo hakutakuwa na simba, mnyama yeyote mkali hatapitia humo, hao hawatapatikana humo. Lakini waliokombolewa ndio watakaopita humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Simba hatakuwako kule, wala nyama wakali wengine hawatakupanda, hawataonekana huko kabisa. Hivyo wale waliokombolewa wataendelea kuishika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo hapatakuwa na simba, wala mnyama mkali hatapanda juu yake; hawataonekana hapo; bali waliokombolewa watakwenda katika njia hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
humo hamutakuwa simba, nyama yeyote mukali hatapitia humo, hao hawatapatikana humo. Lakini waliokombolewa ndio watakaopita humo.