Isaiah 36:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msikubali awashawishi ili mumtegemee Mwenyezi-Mungu akisema, ‘Mwenyezi-Mungu hakika atatuokoa na mji huu hautatiwa mkononi mwa mfalme wa Ashuru.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msikubali Hezekia awashawishi kumtumaini Mwenyezi Mungu kwa kuwaambia, ‘Hakika Mwenyezi Mungu atatuokoa. Mji huu hautaangukia mikononi mwa mfalme wa Ashuru.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala msimwache Hezekia kuwatia moyo wa kumtumaini Bwana; akisema, Bwana bila shaka atatuokoa, mji huu hautatiwa katika mkono wa mfalme wa Ashuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msikubali awashawishi ili mumtegemee Mwenyezi-Mungu akisema, ‘Mwenyezi-Mungu hakika atatuokoa na mji huu hautatiwa mkononi mwa mfalme wa Ashuru.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msikubali Hezekia awashawishi kumtumaini BWANA wakati anaposema, ‘Hakika BWANA atatuokoa sisi, mji huu hautatiwa mikononi mwa mfalme wa Ashuru.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msikubali Hezekia awashawishi kumtumaini bwana kwa kuwaambia, ‘Hakika bwana atatuokoa. Mji huu hautaangukia mikononi mwa mfalme wa Ashuru.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala msimwache Hezekia kuwatia moyo wa kumtumaini BWANA; akisema, BWANA bila shaka atatuokoa, mji huu hautatiwa katika mkono wa mfalme wa Ashuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msikubali awashawishi ili mumtegemee Mwenyezi-Mungu akisema, ‘Mwenyezi-Mungu hakika atatuokoa na mji huu hautatiwa mkononi mwa mfalme wa Ashuru.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala Hizikia asiwaegemeze Bwana kwamba: Bwana ndiye atakayetuponya, mji huu hautatiwa mkononi mwa mfalme wa Asuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala msimwache Hezekia kuwatia moyo wa kumtumaini BWANA; akisema, BWANA bila shaka atatuokoa, mji huu hautatiwa katika mkono wa mfalme wa Ashuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikubali awashawishi kusudi mumutegemee Yawe, akisema: ‘Yawe atatuokoa na muji huu hautatiwa katika mikono wa mufalme wa Asuria.’