Isaiah 36:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, unadhani kuwa maneno matupu ndiyo maarifa na nguvu katika vita? Ni nani unayemtegemea hata ukaniasi?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unasema mnayo mikakati na nguvu za kijeshi, lakini unasema maneno matupu tu. Je, wewe unamtegemea nani, hata ukaniasi mimi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nasema, mashauri yako, na nguvu zako kwa vita, ni maneno yasiyo na maana; basi, unamtumaini nani hata ukaniasi mimi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, unadhani kuwa maneno matupu ndiyo maarifa na nguvu katika vita? Ni nani unayemtegemea hata ukaniasi?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unasema mnayo mikakati na nguvu za kijeshi, lakini unasema maneno matupu tu. Je, wewe unamtegemea nani, hata kwamba unaniasi mimi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unasema mnayo mikakati na nguvu za kijeshi, lakini unasema maneno matupu tu. Je, wewe unamtegemea nani, hata ukaniasi mimi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nasema, mashauri yako, na nguvu zako kwa vita, ni maneno yasiyo na maana; basi, unamtumaini nani hata ukaniasi mimi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, unadhani kuwa maneno matupu ndiyo maarifa na nguvu katika vita? Ni nani unayemtegemea hata ukaniasi?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nasema: Ni maneno ya midomo tu, ukisema: Nimekata shauri na kujipa moyo wa kupiga vita. Sasa unamwegemea nani, ukinikataa na kuacha kunitii?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nasema, mashauri yako, na nguvu zako kwa vita, ni maneno yasiyo na maana; basi, unamtumaini nani hata ukaniasi mimi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unazani kwamba maneno matupu ndiyo maarifa na nguvu katika vita? Ni nani unayemutegemea hata ukaniasi?