Isaiah 37:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe umekwisha sikia jinsi wafalme wa Ashuru walivyozitenda nchi nyingine na kuziangamiza kabisa. Je, unadhani wewe utaokoka?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika umesikia yale ambayo wafalme wa Ashuru wametenda kwa nchi zote, wakiwaangamiza kabisa. Je, wewe utaokolewa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, umesikia habari ya mambo yote, ambayo wafalme wa Ashuru wamezitenda nchi zote, kwa kuziangamiza kabisa je! Utaokoka wewe?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe umekwisha sikia jinsi wafalme wa Ashuru walivyozitenda nchi nyingine na kuziangamiza kabisa. Je, unadhani wewe utaokoka?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika umesikia yale ambayo wafalme wa Ashuru wametenda kwa nchi zote, wakiwaangamiza kabisa. Je, wewe utaokolewa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika umesikia yale ambayo wafalme wa Ashuru wametenda kwa nchi zote, wakiwaangamiza kabisa. Je, wewe utaokolewa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, umesikia habari ya mambo yote, ambayo wafalme wa Ashuru wamezitenda nchi zote, kwa kuziangamiza kabisa je! Utaokoka wewe?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe umekwisha sikia jinsi wafalme wa Ashuru walivyozitenda nchi nyingine na kuziangamiza kabisa. Je, unadhani wewe utaokoka?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumbuka, uliyoyasikia mwenyewe, wafalme wa Asuri waliyozifanyizia nchi zote wakiziangamiza na kuzitia mwiko wa kuwapo! Nawe utapona?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, umesikia habari ya mambo yote, ambayo wafalme wa Ashuru wamezitenda nchi zote, kwa kuziangamiza kabisa je! Utaokoka wewe?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe umekwisha kusikia jinsi wafalme wa Asuria walivyotendea inchi nyingine na kuziangamiza kabisa. Unazani wewe utaokoka?