Isaiah 37:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, miungu ya mataifa iliokoa Gozani, Harani, Resefu na Waedeni waliokaa Telasari, mataifa ambayo wazee wangu waliyaangamiza?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, miungu ya mataifa ambayo yaliangamizwa na baba zangu iliweza kuwaokoa? Yaani miungu ya Gozani, Harani, Resefu, na ya watu wa Edeni waliokuwa Telasari?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Miungu ya mataifa, ambao baba zangu waliwaangamiza, wamewaokoa? Gozani, na Harani, na Resefu, na wana wa Adini waliokuwa katika Telasari?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, miungu ya mataifa iliokoa Gozani, Harani, Resefu na Waedeni waliokaa Telasari, mataifa ambayo wazee wangu waliyaangamiza?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, miungu ya yale mataifa ambayo yaliangamizwa na baba zangu iliwaokoa, miungu ya Gozani, Harani, Resefu na watu wa Edeni ambao walikuwa katika Telasari?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, miungu ya mataifa ambayo yaliangamizwa na baba zangu iliweza kuwaokoa? Yaani miungu ya Gozani, Harani, Resefu, na ya watu wa Edeni waliokuwa Telasari?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Miungu ya mataifa, ambao baba zangu waliwaangamiza, wamewaokoa? Gozani, na Harani, na Resefu, na wana wa Adini waliokuwa katika Telasari?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, miungu ya mataifa iliokoa Gozani, Harani, Resefu na Waedeni waliokaa Telasari, mataifa ambayo wazee wangu waliyaangamiza?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Miungu ya wamizimu iliwaponya, baba zangu walipowamaliza, wale watu wa Gozani na wa Harani na wa Resefu nao wana wa Edeni walioko Tilasari?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Miungu ya mataifa, ambao baba zangu waliwaangamiza, wamewaokoa? Gozani, na Harani, na Resefu, na wana wa Adini waliokuwa katika Telasari?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miungu ya mataifa iliokoa Gozani, Harani, Resefu na Waedeni waliokaa Terasari, mataifa ambayo babu zangu waliyaangamiza?