Isaiah 37:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu akamwomba Mwenyezi-Mungu akisema;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Hezekia akamwomba Mwenyezi Mungu akisema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hezekia akamwomba Bwana, akisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu akamwomba Mwenyezi-Mungu akisema;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Hezekia akamwomba BWANA akisema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Hezekia akamwomba bwana akisema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hezekia akamwomba BWANA, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu akamwomba Mwenyezi-Mungu akisema;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kisha Hizikia akamlalamikia Bwana akisema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hezekia akamwomba BWANA, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu akamwomba Yawe akisema: