Isaiah 37:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, ni kweli kwamba wafalme wa Ashuru wameangamiza mataifa yote na nchi zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ni kweli, Ee Mwenyezi Mungu, kwamba wafalme wa Ashuru wameyaangamiza mataifa haya yote pamoja na nchi zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni kweli, Bwana, wafalme wa Ashuru wameziharibu nchi zote, na mashamba yao,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, ni kweli kwamba wafalme wa Ashuru wameangamiza mataifa yote na nchi zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ni kweli, Ee BWANA kwamba wafalme wa Waashuru wameyaangamiza mataifa haya yote pamoja na nchi zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ni kweli, Ee bwana, kwamba wafalme wa Ashuru wameyaangamiza mataifa haya yote pamoja na nchi zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni kweli, BWANA, wafalme wa Ashuru wameziharibu nchi zote, na mashamba yao,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, ni kweli kwamba wafalme wa Ashuru wameangamiza mataifa yote na nchi zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni kweli, Bwana, wafalme wa Asuri wameziangamiza zile nchi zote na mashamba yao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni kweli, BWANA, wafalme wa Ashuru wameziharibu nchi zote, na mashamba yao,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, ni kweli kwamba wafalme wa Asuria wameangamiza mataifa yote na inchi zao.