Isaiah 37:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, utuokoe makuchani mwa Senakeribu, ili falme zote za dunia zijue kwamba wewe peke yako ndiwe uliye Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa basi, Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, tuokoe kutoka mkononi mwake, ili falme zote duniani zipate kujua kwamba wewe peke yako, Ee Mwenyezi Mungu, ndiwe Mungu pekee.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa, Bwana, Mungu wetu, utuokoe na mkono wake, falme zote za dunia zipate kujua ya kuwa wewe ndiwe Bwana, wewe peke yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, utuokoe makuchani mwa Senakeribu, ili falme zote za dunia zijue kwamba wewe peke yako ndiwe uliye Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, Mungu wetu, sasa utuokoe toka mkononi mwake ili kwamba falme zote za dunia zipate kujua ya kwamba wewe peke yako, Ee BWANA, ndiwe Mungu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa basi, Ee bwana Mwenyezi Mungu wetu, tuokoe kutoka mkononi mwake, ili kwamba falme zote duniani zipate kujua kwamba wewe peke yako, Ee bwana, ndiwe Mungu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa, BWANA, Mungu wetu, utuokoe na mkono wake, falme zote za dunia zipate kujua ya kuwa wewe ndiwe BWANA, wewe peke yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, utuokoe makuchani mwa Senakeribu, ili falme zote za dunia zijue kwamba wewe peke yako ndiwe uliye Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu wetu, tuokoe sasa mkononi mwake! Ndipo, nchi zote za kifalme zitakapojua, ya kuwa wewe ndiwe Bwana peke yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa, BWANA, Mungu wetu, utuokoe na mkono wake, falme zote za dunia zipate kujua ya kuwa wewe ndiwe BWANA, wewe peke yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, ee Yawe, Mungu wetu, utuokoe toka katika makucha ya Saniharibu, kusudi falme zote za dunia zijue kwamba ni wewe peke yako, ee Yawe, ambaye ni Mungu.”