Isaiah 37:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimechimba visima na kunywa maji yake, na nilikausha vijito vya Misri kwa nyayo za miguu yangu.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimechimba visima katika nchi za kigeni na kunywa maji yake. Kwa nyayo za miguu yangu nimekausha vijito vyote vya Misri.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimechimba na kunywa maji, na kwa nyayo za miguu yangu nitaikausha mito yote ya Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimechimba visima na kunywa maji yake, na nilikausha vijito vya Misri kwa nyayo za miguu yangu.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimechimba visima katika nchi za kigeni na kuyanywa maji huko. Kwa nyayo za miguu yangu nimevikausha vijito vyote vya Misri.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimechimba visima katika nchi za kigeni na kunywa maji yake. Kwa nyayo za miguu yangu nimekausha vijito vyote vya Misri.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimechimba na kunywa maji, na kwa nyayo za miguu yangu nitaikausha mito yote ya Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimechimba visima na kunywa maji yake, na nilikausha vijito vya Misri kwa nyayo za miguu yangu.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipochimba nikapata maji ya kunywa, tena nikaikausha mito yote ya Misri kwa nyayo za miguu yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimechimba na kunywa maji, na kwa nyayo za miguu yangu nitaikausha mito yote ya Misri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimechimba visima na kunywa maji yake, na nilikausha vijito vya Misri kwa miguu yangu.