Isaiah 37:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale watakaobaki katika ukoo wa Yuda wataongezeka na kuwa wengi kama vile mti unavyotoa mizizi yake udongoni na kuzaa matunda juu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mara nyingine tena mabaki ya nyumba ya Yuda wataeneza mizizi chini na kuzaa matunda juu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mabaki yaliyookoka, yaliyobakia ya nyumba ya Yuda, yatatia mizizi chini, na kuzaa matunda juu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale watakaobaki katika ukoo wa Yuda wataongezeka na kuwa wengi kama vile mti unavyotoa mizizi yake udongoni na kuzaa matunda juu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mara nyingine tena mabaki ya nyumba ya Yuda yataeneza mizizi chini na kuzaa matunda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mara nyingine tena mabaki ya nyumba ya Yuda wataeneza mizizi chini na kuzaa matunda juu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mabaki yaliyookoka, yaliyobakia ya nyumba ya Yuda, yatatia mizizi chini, na kuzaa matunda juu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale watakaobaki katika ukoo wa Yuda wataongezeka na kuwa wengi kama vile mti unavyotoa mizizi yake udongoni na kuzaa matunda juu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, masao yao waliopona wa mlango wa Yuda watakapotia mizizi chini, kisha watazaa matunda juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mabaki yaliyookoka, yaliyobakia ya nyumba ya Yuda, yatatia mizizi chini, na kuzaa matunda juu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale watakaobaki katika ukoo wa Yuda wataongezeka na kuwa wengi kama vile muti unavyotoa mizizi yake katika udongo na kuzaa matunda juu.