Isaiah 37:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana kutakuwa na watu watakaosalia huko Yerusalemu; naam, huko mlimani Siyoni kutakuwako watu wachache watakaosalimika.” Mwenyezi-Mungu wa majeshi amedhamiria kukamilisha hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa kutoka Yerusalemu watakuja mabaki, na kutoka Mlima Sayuni kundi la walionusurika. Wivu wa Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, ndio utatimiza jambo hili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana katika Yerusalemu yatatoka mabaki, nao watakaookoka katika mlima Sayuni; wivu wa Bwana wa majeshi utatimiza mambo hayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana kutakuwa na watu watakaosalia huko Yerusalemu; naam, huko mlimani Siyoni kutakuwako watu wachache watakaosalimika.” Mwenyezi-Mungu wa majeshi amedhamiria kukamilisha hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa kutoka Yerusalemu yatatokea mabaki, na kutoka Mlima Sayuni kikosi cha wale walionusurika. Wivu wa BWANA Mwenye Nguvu Zote, utatimiza hili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa kutoka Yerusalemu watakuja mabaki, na kutoka Mlima Sayuni kundi la walionusurika. Wivu wa bwana Mwenye Nguvu Zote, ndio utatimiza jambo hili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana katika Yerusalemu yatatoka mabaki, nao watakaookoka katika mlima Sayuni; wivu wa BWANA wa majeshi utatimiza mambo hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana kutakuwa na watu watakaosalia huko Yerusalemu; naam, huko mlimani Siyoni kutakuwako watu wachache watakaosalimika.” Mwenyezi-Mungu wa majeshi amedhamiria kukamilisha hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Yerusalemu yatatokea masao, nako mlimani kwa Sioni watatokea waliopona. Wivu wake Bwana Mwenye vikosi utayafanya hayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana katika Yerusalemu yatatoka mabaki, nao watakaookoka katika mlima Sayuni; wivu wa BWANA wa majeshi utatimiza mambo hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana kutakuwa watu watakaobaki kule Yerusalema; kule kwenye mulima Sayuni kutakuwa watu wachache watakaobakia. Yawe wa majeshi amekusudia kukamilisha hayo.