Isaiah 37:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atarudi kwa njia ileile aliyojia na wala hataingia katika mji huu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimetamka hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa njia ile aliyoijia ndiyo atakayorudi; hataingia katika mji huu,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njia ile ile aliyoijia, kwa njia hiyo atarudi zake, wala hataingia ndani ya mji huu; asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atarudi kwa njia ileile aliyojia na wala hataingia katika mji huu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimetamka hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa njia ile aliyoijia ndiyo atakayorudi kwayo; hataingia katika mji huu,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa njia ile aliyoijia ndiyo atakayorudi; hataingia katika mji huu,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njia ile ile aliyoijia, kwa njia hiyo atarudi zake, wala hataingia ndani ya mji huu; asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atarudi kwa njia ileile aliyojia na wala hataingia katika mji huu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimetamka hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njia, aliyokuja nayo, ileile atarudi nayo. Lakini humu mjini hatamwingia; ndiyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njia ile ile aliyoijia, kwa njia hiyo atarudi zake, wala hataingia ndani ya mji huu; asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atarudi kwa njia ileile aliyokuja nayo wala hataingia katika muji huu. Kweli, kwa ajili ya heshima yangu mimi na kwa ajili ya mutumishi wangu Daudi, nitaulinda na kuuokoa muji huu. –Ni ujumbe wa Yawe.