Isaiah 38:10 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilisema, “Katika ustawi wa maisha yangu, je, ni lazima nipite katika malango ya mauti, na kupokonywa miaka yangu iliyobaki?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalisema, Katika usitawi wa siku zangu nitakwenda kuingia malango ya kuzimu; Nimenyimwa mabaki ya miaka yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nilisema: nikiwa mbichi kabisa, inanibidi niage dunia. Mimi nimepangiwa kwenda kuzimu siku zote zilizonibakia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilisema, “Katika ustawi wa maisha yangu je, ni lazima nipite katika malango ya mauti na kupokonywa miaka yangu iliyobaki?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilisema, “Katika ustawi wa maisha yangu, je, ni lazima nipite katika malango ya mauti, na kupokonywa miaka yangu iliyobaki?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilisema, Katika usitawi wa siku zangu nitakwenda kuingia malango ya kuzimu; Nimenyimwa mabaki ya miaka yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nilisema: Nikiwa mbichi kabisa, inanibidi niage dunia. Mimi nimepangiwa kwenda kuzimu siku zote zilizonibakia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi nilisema: Sasa, siku zangu zinapokuwa zimefika kati, sharti niingie malangoni mwa kuzimu! Nimenyang'anywa miaka yangu iliyosalia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalisema, Katika usitawi wa siku zangu nitakwenda kuingia malango ya kuzimu; Nimenyimwa mabaki ya miaka yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilisema: nikiwa mubichi kabisa, inanipasa niage dunia. Mimi nimepangiwa kwenda katika kuzimu siku zote zilizonibakilia.