Isaiah 38:11 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilisema, “Sitamwona tena Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu katika nchi ya walio hai, wala sitamtazama tena mwanadamu, wala kuwa na wale ambao sasa wanakaa katika ulimwengu huu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalisema, Sitamwona Bwana, yeye Bwana, katika nchi ya walio hai; Sitamwona mwanadamu tena pamoja na hao wakaao duniani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilisema sitamwona tena Mwenyezi-Mungu, katika nchi ya walio hai; wala sitamwona mtu yeyote tena, miongoni mwa wakazi wa ulimwengu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilisema, “Sitamwona tena BWANA, BWANA katika nchi ya walio hai, wala sitamtazama tena mwanadamu, wala kuwa na wale ambao sasa wanakaa katika ulimwengu huu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilisema, “Sitamwona tena bwana, bwana katika nchi ya walio hai, wala sitamtazama tena mwanadamu, wala kuwa na wale ambao sasa wanakaa katika ulimwengu huu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilisema, Sitamwona BWANA, yeye BWANA, katika nchi ya walio hai; Sitamwona mwanadamu tena pamoja na hao wakaao duniani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilisema sitamwona tena Mwenyezi-Mungu, katika nchi ya walio hai; wala sitamwona mtu yeyote tena, miongoni mwa wakazi wa ulimwengu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilisema: Sitamwona Bwana tena, maana Bwana yuko katika nchi yao walio hai; huko kwao wakaao katika nchi ya vivuli sitapata kuona mtu tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalisema, Sitamwona BWANA, yeye BWANA, katika nchi ya walio hai; Sitamwona mwanadamu tena pamoja na hao wakaao duniani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilisema sitamwona tena Yawe, katika inchi ya wanaokuwa wazima; wala sitamwona mutu yeyote tena, kati ya wakaaji wa ulimwengu.