Isaiah 38:13 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilingoja kwa uvumilivu hadi mapambazuko, lakini alivunja mifupa yangu yote kama simba. Mchana na usiku uliyakomesha maisha yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalijituliza hata asubuhi; kama simba, aivunja mifupa yangu yote; Tangu mchana hata usiku wanimaliza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiku kucha nililia kuomba msaada; kama simba, anavunjavunja mifupa yangu; mchana na usiku ananikomesha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilingoja kwa uvumilivu hadi mapambazuko, lakini kama simba alivunja mifupa yangu yote, mchana na usiku uliyakomesha maisha yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilingoja kwa uvumilivu hadi mapambazuko, lakini alivunja mifupa yangu yote kama simba. Mchana na usiku uliyakomesha maisha yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilijituliza hata asubuhi; kama simba, anaivunja mifupa yangu yote; Tangu mchana hata usiku wanimaliza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiku kucha nililia kuomba msaada; kama simba, anavunjavunja mifupa yangu; mchana na usiku ananikomesha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikalia mpaka asubuhi, maana aliivunja mifupa yangu sawasawa kama simba; mchana utakapokuwa haujawa usiku bado, utanitowesha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalijituliza hata asubuhi; kama simba, aivunja mifupa yangu yote; Tangu mchana hata usiku wanimaliza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiku kucha nililia kwa kuomba musaada; kama simba, anavunjavunja mifupa yangu; muchana na usiku ananikomesha.