Isaiah 38:16 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bwana, kwa mambo kama haya watu huishi, nayo roho yangu hupata uzima katika hayo pia. Uliniponya na kuniacha niishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, kwa mambo hayo watu huishi; Na uhai wa roho yangu u katika hayo yote; Kwa hiyo uniponye na kunihuisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ee Bwana, Sisi twaishi kutokana na yote uliyotenda, kwa hayo yote mimi binafsi pia ninaishi. Nirudishie afya, uniwezeshe kuishi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bwana, kwa mambo kama haya watu huishi, nayo roho yangu hupata uzima katika hayo pia. Uliniponya na kuniacha niishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bwana, kwa mambo kama haya watu huishi, nayo roho yangu hupata uzima katika hayo pia. Uliniponya na kuniacha niishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Bwana, kwa mambo hayo watu huishi; Na uhai wa roho yangu u katika hayo yote; Kwa hiyo uniponye na kunihuisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ee Bwana, Sisi twaishi kutokana na yote uliyotenda, kwa hayo yote mimi binafsi pia ninaishi. Nirudishie afya, uniwezeshe kuishi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana! Kwa maneno kama hayo watu hupata uzima, nao uzima wa roho yangu umo humo; nami umeniponya na kunirudisha uzimani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Bwana, kwa mambo hayo watu huishi; Na uhai wa roho yangu u katika hayo yote; Kwa hiyo uniponye na kunihuisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Bwana, sisi tunaishi kutokana na yote uliyotenda, kwa hayo yote mimi peke yangu vilevile ninaishi. Unirudishie afya, uniwezeshe kuishi.