Isaiah 38:17 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika ilikuwa ya faida yangu ndiyo maana nikapata maumivu makali. Katika upendo wako ukaniokoa kutoka shimo la uharibifu; umeziweka dhambi zangu zote nyuma yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama; nalikuwa na uchungu mwingi kwa ajili ya amani yangu; Lakini kwa kunipenda umeniokoa na shimo la uharibifu; Kwa maana umezitupa dhambi zangu zote nyuma yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilipata mateso makali kwa faida yangu; lakini umeyaokoa maisha yangu kutoka shimo la uharibifu, maana umezitupa dhambi zangu nyuma yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika ilikuwa kwa ajili ya faida yangu ndiyo maana nikapata maumivu makali. Katika upendo wako ukaniokoa kutoka katika shimo la uharibifu; umeziweka dhambi zangu zote nyuma yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika ilikuwa ya faida yangu ndiyo maana nikapata maumivu makali. Katika upendo wako ukaniokoa kutoka shimo la uharibifu; umeziweka dhambi zangu zote nyuma yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama; nilikuwa na uchungu mwingi kwa ajili ya amani yangu; Lakini kwa kunipenda umeniokoa na shimo la uharibifu; Kwa maana umezitupa dhambi zangu zote nyuma yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilipata mateso makali kwa faida yangu; lakini umeyaokoa maisha yangu kutoka shimo la uharibifu, maana umezitupa dhambi zangu nyuma yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama! Uchungu uliokuwa kweli uchungu kwangu umenipatia utengemano! Kwa kunipenda wewe umeitoa roho yangu mle shimoni mwa kutoweka, kwani makosa yangu yote uliyatupa nyuma yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama; nalikuwa na uchungu mwingi kwa ajili ya amani yangu; Lakini kwa kunipenda umeniokoa na shimo la uharibifu; Kwa maana umezitupa dhambi zangu zote nyuma yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilipata mateso makali kwa faida yangu; lakini umeyaokoa maisha yangu kutoka shimo la uharibifu, maana umezitupa zambi zangu nyuma yako.