Isaiah 38:18 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana kaburi haliwezi kukusifu, mauti haiwezi kuimba sifa zako; wale wanaoshuka shimoni hawawezi kuutarajia uaminifu wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa kuzimu hakuwezi kukusifu; mauti haiwezi kukuadhimisha; Wale washukao shimoni hawawezi kuitarajia kweli yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko kuzimu mtu hawezi kukushukuru wewe; waliokufa hawawezi kukushukuru wewe. Wala washukao huko shimoni hawawezi tena kutumainia uaminifu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana kaburi haliwezi kukusifu, mauti haiwezi kuimba sifa zako; wale washukao chini shimoni hawawezi kuutarajia uaminifu wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana kaburi haliwezi kukusifu, mauti haiwezi kuimba sifa zako; wale washukao chini shimoni hawawezi kuutarajia uaminifu wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa kuzimu hakuwezi kukusifu; mauti haiwezi kukuadhimisha; Wale washukao shimoni hawawezi kuutumainia uaminifu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko kuzimu mtu hawezi kukushukuru wewe; waliokufa hawawezi kukushukuru wewe. Wala washukao huko shimoni hawawezi tena kutumainia uaminifu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kuzimuni siko, wanakokushukuru, wala waliokufa sio wanaokushangilia, wala walioshuka shimoni sio wanaoungojea welekevu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa kuzimu hakuwezi kukusifu; mauti haiwezi kukuadhimisha; Wale washukao shimoni hawawezi kuitarajia kweli yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Huko kuzimu mutu hawezi kukushukuru wewe; waliokufa hawawezi kukushukuru wewe. Wala wanaoshuka kule katika shimo hawawezi tena kutumainia uaminifu wako.