Isaiah 38:19 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walio hai, walio hai: hao wanakusifu, kama ninavyofanya leo. Baba huwaambia watoto wao habari za uaminifu wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aliye hai, naam, aliye hai, ndiye atakayekusifu, kama mimi leo; Baba atawajulisha watoto kweli yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walio hai ndio wanaokushukuru, kama na mimi ninavyofanya leo. Kina baba huwajulisha watoto wao uaminifu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walio hai, walio hai, wanakusifu, kama ninavyofanya leo; baba huwaambia watoto wao habari za uaminifu wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walio hai, walio hai: hao wanakusifu, kama ninavyofanya leo. Baba huwaambia watoto wao habari za uaminifu wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliye hai, naam, aliye hai, ndiye atakayekusifu, kama mimi leo; Baba atawajulisha watoto uaminifu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walio hai ndio wanaokushukuru, kama na mimi ninavyofanya leo. Kina baba huwajulisha watoto wao uaminifu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliye hai, kweli aliye hai ndiye atakayekushukuru kama mimi leo. Baba huwajulisha watoto mambo ya welekevu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aliye hai, naam, aliye hai, ndiye atakayekusifu, kama mimi leo; Baba atawajulisha watoto kweli yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanaokuwa wazima ndio wanaokushukuru, kama na mimi ninavyofanya leo. Wababa wanajulisha watoto wao uaminifu wako.