Isaiah 38:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hezekia akageukia upande wa ukuta na kumwomba Mwenyezi-Mungu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hezekia akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba Mwenyezi Mungu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Hezekia akajigeuza, akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba Bwana,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hezekia akageukia upande wa ukuta na kumwomba Mwenyezi-Mungu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hezekia akageuza uso wake kuelekea ukutani na kumwomba BWANA,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hezekia akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba bwana:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Hezekia akajigeuza, akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba BWANA,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hezekia akageukia upande wa ukuta na kumwomba Mwenyezi-Mungu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizikia akageuka na kuuelekeza uso wake ukutani, akamwomba Bwana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Hezekia akajigeuza, akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba BWANA,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hezekia akageukia upande wa ukuta na kumwomba Yawe,