Isaiah 38:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Isaya akasema, “Chukueni andazi la tini mkaliweke kwenye jipu lake, apate kupona.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isaya alikuwa amesema, “Tengenezeni dawa ya kubandika ya tini, mweke juu ya jipu, naye atapona.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Isaya amesema, Na watwae mkate wa tini, wakauweke juu ya jipu, naye atapona.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Isaya akasema, “Chukueni andazi la tini mkaliweke kwenye jipu lake, apate kupona.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Isaya alikuwa amesema, “Uandae mkate wa tini uubandike juu ya jipu, naye atapona.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isaya alikuwa amesema, “Tengenezeni dawa ya kubandika ya tini, mweke juu ya jipu, naye atapona.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana Isaya amesema, Na watwae mkate wa tini, wakauweke juu ya jipu, naye atapona.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Isaya akasema, “Chukueni andazi la tini mkaliweke kwenye jipu lake, apate kupona.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yesaya akasema, walete andazi la kuyu, waliweke juu ya jipu, apate kupona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana Isaya amesema, Na watwae mkate wa tini, wakauweke juu ya jipu, naye atapona.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Isaya alikuwa amesema: Mutwae mukate wa tini na kuuweka kwenye jipu lake, apate kupona.